Links

   Quran Explorer - Interactive Audio Recitations & Translations

Monday, April 26, 2010

Msiniseme - Alikiba

CHORUS
Msinisemee ah 4x
Kwamba napenda kula
Msinishangae 4x
kwamba napenda kula
Msinitengee 4x
Kwamba napenda kula
VERSE(1)
Basi hivi juzi juzi
Kulikuwa na shuguli
Utawa birika na simali
Kulikuwa na pilau na wali
Basi nami nikajiunga
Pale pale kupiga mpunga
Watu wakajipanga
Nikaanza kwa tonge na nyama
Jamani ninamatonge*4
Mpaka wakanifukuza
Nikasema sijali
Nikatoa pesa mfukoni
Nikanunua mayai
Kilijofuata watu hawakai
CHORUS 
Msinisemee ah 4x
Kwamba napenda kula
Msinishangae 4x
kwamba napenda kula
Msinitengee 4x
Kwamba napenda kula
VERSE (2)
Ilikuwa juma pili
Siku ya watu wenye ufahari
Kujirusha sehemu mbali mbali
Nami nikasema sikubali
Wacha niendee*4
Ila pesa sina na nataka ni kale
Nikapita sokoni
Nikaomba embe sokoni
Nikaelekea baharini
Nikawaona wengi ufukweni
Nikapita na embe kiutani
Nakula ili watamani
Mate yaliwajaa midomoni
Wakaanza kuniomba
Msiniombee ah 4x

© Alikiba

1 comment:

  1. sawa bratha.....wanikumbusha tamthilia na mauthui ya kiswahili yakhe....nixau

    ReplyDelete

Feel free to leave a comment